Jeremiah 51:36

36 aKwa hiyo, hili ndilo Bwana asemalo: “Tazama, nitatetea shauri lako
na kulipiza kisasi kwa ajili yako;
nitaikausha bahari yake
na kuzikausha chemchemi zake.
Copyright information for SwhKC